.
21st November, 2016
Polisi wamemkamata mtu mmoja na mkewe huko Nakuru kwa kumpiga mtoto wao hadi kufa. Ni taarifa ya kusikitisha anavyoripoti Frank Otieno, kuwa wazazi hao walikosa utu na kumuadhibu msichana huyo wa umri wa miaka kumi na mmoja kwa kuhudhuria sherehe za tohara.Polisi wamemkamata mtu mmoja na mkewe huko Nakuru kwa kumpiga mtoto wao hadi kufa. Ni taarifa ya kusikitisha anavyoripoti Frank Otieno, kuwa wazazi hao walikosa utu na kumuadhibu msichana huyo wa umri wa miaka kumi na mmoja kwa kuhudhuria sherehe za tohara.