19th November, 2016
Wakaazi wa jamiiza wafugaji wamehimizwa kujiunga na vyama vya kuweka akiba almaarufu saccos ili kujisaidia na kuweza kupata mikopo. Chama cha kwanza kabisa kinachofaidi jamii hizo haswa waislamu katika makundi madogo madogo kupitia kwa mipango kama vile Ayuta Sokoni , Ayuta Kazini, Ayuta Al-rafiq, Ayuta Familia, na Ayuta Emergency.