×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Wakazi wa Voi wasema Kalonzo Musyoka Tosha kupeperusha bendera ya CORD, 14/11/16

14th November, 2016

Je hatua ya viongozi wa chama cha ODM kusisitiza kuwa Kalonzo Musyoka ndiye anayefaa kupeperusha bendera ya CORD katika uchaguzi mkuu ujao inatakiwa kufasiriwa vipi? Je wamemsahau kinara wa ODM Raila Odinga ama walifanya hivyo kumfurahisha kalonzo aliyekuwa maeneo ya Voi na Oloitotok? Mwanhabari Paul Nabiswa anaarifu kwa kina kuhusu safari ya CORD

.
RELATED VIDEOS