KTN Leo: Watanzania wapokea matokeo ya uchaguzi ya Marekani, 9/11/16
9th November, 2016
Matokeo ya uchaguzi mkuu wa marekani yamewastua walio wengi, hata huko nchini Tanzania. Mwanahabari wetu Rajabu Hassan anaarifu namna watanzania walivyoyapokea matoke ya uchaguzi wa Marekani.