×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Waziri wa Afya, Cleopa Mailu ahojiwa na kamati ya Seneti kuhusu sakata ya Ufisadi, 8/11/16

8th November, 2016

Waziri wa Afya Cleopa Mailu mapema hii leo alifika katika kamati ya seneti kuhusu afya kuhojiwa kuhusu madai ya ubadhirifu wa fedha takriban billioni tano katika wizara hiyo, waziri huyo alijitetea kuhusu madai hayo huku mwenyekiti wa kamati hiyo Wilfred Machage akimhoji kuhusu madai ufujaji wa fedha hizo. Wiki iliyopita waziri mailu alifika katika afisi za tume ya kupambana na ufisadi, EACC kujibu tuhuma hizo za ubadhirifu wa fedha.

.
RELATED VIDEOS