×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Polisi wanamsaka mshukiwa wa hongo eneo la Kajiado, 3/11/16

3rd November, 2016

Polisi huko Kajiado wanamsaka mshukiwa mmoja aliyejaribu kumhonga naibu kamishina wa kaunti hiyo Alex Mutua juu ya uchunguzi unaoendelea kuhusu shamba la Mailwa. Kwa mujibu wa Mutua, mshukiwa huyo aliingia ofisini mwake na kudondosha  kitita cha noti na kuondoka. Kamishina wa kaunti hiyo Harsama Kello amefafanua kwamba kinyume cha ilivyoripotiwa  kwenye vyombo vya habari, Alex Mutua hakukamatwa na maafisa wa EACC.

.
RELATED VIDEOS