×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Wakimbizi wa Ndani warudishwa Nakuru baada ya kukita kambi nje ya bunge, 2/11/16

2nd November, 2016

Wakimbizi wa ndani waliokuwa wamekita kambi nje ya bunge walisafirishwa hadi Nakuru jana usiku baada ya kuishi maeneo ya  bunge kwa takriban mwezi mmoja. Wakimbizi hao wamelalamikia kudhulumiwa na polisi kwa kupigwa wakati walipolazimishwa kupanda malori yaliyowasafirisha hadi Nakuru.  Aidha wameilaumu serikali kwa kutotimiza ahadi walizopewa wakati walipokuwa nje ya bunge.  Ombi lao ni kuwa rais Uhuru Kenyatta atawapa makao mbadala baada ya kuishi Uganda kwa muda mrefu tangu 2008 ambapo walitoroka ghasia za baada ya uchaguzi mkuu wa 2007.

.
RELATED VIDEOS