×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Matayarisho ya KCPE huku mtihani zikitarajiwa kuanza kesho, 31/10/16

31st October, 2016

Wanafunzi wa shule mbalimbali za msingi leo walikuwa kwa matayarisho ya kufanya mtihani wa kitaifa wa shule za msingi unaoanza hapo kesho kote nchini. Mtihani huu unaanza wakati wizara ya elimu imeshirikiana na ile ya usalama wa kitaifa pamoja na ya mawasiliano kuhakikisha wizi wa mitihani unathibitiwa mwaka huu. Moja ya masharti yaliyoweka na wizara ya elimu yanajumusha walimu wote kuwa shuleni wakati inapofanywa mitihani hii ambao inakamilika alhamisi wiki hii. 

.
RELATED VIDEOS