×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: mkaguzi mkuu wa fedha za serikali, Edward Ouko anapigwa kuhusu ufisadi, 31/10/16

31st October, 2016

Afisi ya mkaguzi mkuu wa fedha za serikali inayoongozwa na Edward Ouko inapigwa darubini kali kuhusu itakavyoshughulikia sakata ya wizara ya afya ambapo kuna madai kuwa fedha kiasi cha shilingi bilioni tano zimepotea. Je, Uhuru wa afisi hiyo umeathiriwa vipi na siasa zinazozingira sakata mbalimbali nchini? Mwanahabari Caroline Bae anatuarifu kuhusu siasa zinazokabili afisi hiyo.

.
RELATED VIDEOS