.
29th October, 2016
‘Fort Jesus’ ni jina ambalo wengi watalihusisha na historia waliyosoma darasani. Kwenye makala ya Tembea Kenya wiki hii Sycilia Wakesho na Moses Baya wanatupeleka kwenye makavazi hayo yaliyojengwa na Wareno katika karne ya kumi na tatu.