.
29th October, 2016
Shughuli katika hifadhi ya maiti ya general Kago katika kaunti ya Muranga zilisitishwa baada ya familia kutofautiana ya iwapo mazishi ya wapendwa wao yatafanyika kabla ya upasuaji kufanyika? Familia za jamaa zao wanne wanasemekana kuuwawa na baba yao.