.
29th October, 2016
Kamishna wa IEBC anayeondoka Thomas Letangule amewataka wanasiasa kutoingiza siasa katika tume huru ya uchaguzi na mipaka itakayobuniwa hivi karibuni. Akizungumza nyumbani kwake huko Baringo katika sherehe ya kumkaribisha nyumbani, Letangula alisema kuwa walifanya kazi yao kwa maadili tangu wakati walipochukua hatamu.