23rd October, 2016
Je, ukarimu wako umefika wapi? Katika kaunti ya Kirinyaga mwanamke mmoja amefahamika kwa kuyajali maslahi ya wenzake yakiwemo masomo, matibabu na hata jinsia. Kwenye makala ya mwanamke ngangari wiki hii Sycilia Wakesho anaangazia ukarimu wa Purity Wangui aliyeanza kujitolea kusaidia akiwa na umri wa miaka 9 pekee.