×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo Wikendi: Wafungwa katika gereza la Nakuru waachiliwa baada ya agizo la Rais Uhuru Kenyatta

22nd October, 2016

Zaidi ya wafungwa 200  wa gereza la Nakuru mapema hii leo waliachiliwa huru. Hatua hiyo  ni kufuatia agizo la rais kuwaachilia zaidi ya wafungwa elfu saba. Miongoni mwa walioachiliwa ni Robert Malakwen kutoka Salgaa eneo bunge la Rongai aliyehukumu kifungo cha miaka minane. 

.
RELATED VIDEOS