.
15th October, 2016
Seneta wa Nairobi Mike Sonko huenda akawa mgeni wa polisi hivi karibuni baada ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko kuagiza idara ya polisi kumchunguza kwa matamshi aliyotoa hapo jana katika mazishi ya mumewe aliyekuwa mbunge wa Kathiani Wavinya Ndeti. Sonko alisema kuwa kwa sababu Rais na naibu wake William Ruto hawakukuwepo nchini yeye ndiye kaimu rais