KTN leo: Mtoto wa wiki tatu atekelezwa Bisil, Kajiado, 11/10/2016
11th October, 2016
Wakazi wa mji wa Bisil katika kaunti ya Kajiado wanamsaka mwanamke aliyemtelekeza mwanawe mchanga mwenye umri wa wiki tatu kwa kumfungia ndani ya nyumba akiwa peke yake kwa siku mbili.