×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Raila adokeza kuwa Mudavadi atajiunga na Cord, 10/10/2016

10th October, 2016

Katika kile kinachoonekana kuwa juhudi za kuimarisha upinzani ili kutoana na jasho na serikali ya Jubilee katika uchaguzi mkuu ojao, mchango wa Musalia Mudavadi umeonekana kuwa muhimu kwa juhudi za Cord. Hii leo kinara wa CORD Raila Odinga  ameashiria kuwa huenda Musalia Mudavadi akajiunga na muungano huo katika mapambano ya kisiasa sawa na Martha Karua. Matamshi kama hayo yalitolewa hapo jana na kiongozi wa Ford Kenya Moses Wetangula

.
RELATED VIDEOS