×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Kinara wa CORD Raila asisitiza umuhimu ya Wakenya kutekeleza ripoti ya TJRC, 6/10/16

6th October, 2016

Kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga amesisitiza kuwa ni sharti Kenya itekeleze ripoti ya tume ya ukweli, haki na maridhiano, TJRC ili kutatua dhana ya maeneo fulani kuhisi kutengwa. Raila alikuwa akizungumza huko Kilifi alipokuwa mgeni wa heshima kwenye kongamano la uwekezaji liliondaliwa na serikali ya kaunti hiyo.

.
RELATED VIDEOS