×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Wanafunzi wa chuo kikuu cha Eldoret wazua rabsha kuhusu kiongozi wao Edgar Kisanya, 5/10/16

5th October, 2016

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Eldoret walizua kizaazaa adhuhuri ya leo na kuwapa polisi wakati mgumu walipoandamana wakitaka kurejeshwa kwa aliyekuwa kiongozi wa taasisi hio Edgar Kisanya. Inaripotiwa kuwa Kisanya aliyetimuliwa chuoni humo alifanya jaribio la kutaka kujitoa uhai kwa kunywa sumu, kutokana na uamuzi wa mamlaka ya chuo hicho. Wanafunzi wanadai kuwa alitimuliwa chuoni humo bila makosa. 

.
RELATED VIDEOS