×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Gavana Munya ahojiwa kwa madai hakutoa hesabu za mwaka 2013/14, 4/10/2016

4th October, 2016

Gavana wa Meru Peter Munya mapema leo alifika mbele ya kamati ya uhasibu na uwekezaji katika bunge la seneti  ili kutoa mwanga kwa tuhuma za kukosa kutoa hesabu ya fedha  zilizotumika katika mwaka 2013/2014. Kwa mujibu wa mkaguzi wa fedha, mawaziri wa kaunti hawakutoa ripoti ya  jinsi milioni 26.3 zilivyotumika kwenye ununuzi wa huduma na bidhaa.

.
RELATED VIDEOS