×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo Wikendi: Hassan Joho na Nelson Marwa wapigania arthi inayopatikana Bombolulu

2nd October, 2016

Mzozo wa ubabe umeibuka upya kati ya gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho na mkuu wa kanda ya Pwani Nelson Marwa kuhusu ardhi. Marwa ametishia kumkamata Joho kuhusu ardhi inayopatikana Bombolulu ambayo inang’ang’aniwa na serikali ya kaunti na shirika la KBC. Wiki iliyopita vijana waliangusha ua katika ardhi hiyo ya ekari 22 kwa uelekezi wa gavana Ali Hassan  Joho

.
RELATED VIDEOS