.
2nd October, 2016
Licha ya mwafaka wa makamishna wa IEBC kuondoka afisini kuafikiwa baadhi ya wanasiasa wamezidi kutoa kauli zao za kutofautiana. Jubilee imejitea kuwa haihujumu mchakato wa kubuni tume mpya ya uchaguzi. Hata hivyo seneta wa Nyamira Kennedy Mong’are amesisitiza kuwa tarehe ya uchaguzi mkuu ujao inatakiwa kubadilishwa.