×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Kiongozi wa ODM Raila azua kaunti ya Narok kuuza sera za chama, 29/09/2016

29th September, 2016

Kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga hivi leo alikuwa maeneo ya Narok kunadi sera na kampeini za chama hicho na mrengo mzima wa CORD, kwenye msururu wa kampeini zake nchini.  Wakati huohuo gavana wa Kisumu Jack Ranguma na mwenyekiti wa ODM kaunti ya Kisumu Prof Ayiecho Olweny wamewaeleza wanahabari jioni kuhusu  maandalizi ya mkutano wa hadhara utakaoongozwa na Raila Odinga mjini Kisumu mwishoni mwa juma hili.

.
RELATED VIDEOS