×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Mwanamke afariki Kisumu kwa madai kupigwa na mumewe, 27/9/2016

27th September, 2016

Kutoka Kisumu, polisi wanasubiri uchunguzi wa maiti kubainisha kiini cha kifo cha mwanamke mmoja katika kijiji cha Kombewa kwenye kaunti ya Kisumu. Emelda Atieno naibu mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya Nyalik alifariki hospitalini siku ya Jumapili. Kifo chake kimezua utata huku familia ikidai kwamba alifariki kutokana na kichapo kutoka kwa mumewe huku naibu chifu wa eneo hilo akidai kwa upande mwingine kuwa mwendazake alikunywa sumu usiku baada ya kuzozozana na mumewe ambaye anazuiliwa na polisi kwa sasa kusububiri uchunguzi

.
RELATED VIDEOS