×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo Wikendi: Msimamo wa Spika wa Bunge Justin Muturi kuhusu tume ya IEBC , Septemba 24 2016

24th September, 2016

Je tume huru ya uchaguzi na mipaka itabuniwa mwisho wa mwezi huo jinsi ilivyopendekeza kamati ya pamoja ya bunge? Bila shaka ni ndoto ya mchana, na dhana hiyo imepigwa jeki na taarifa ya spika wa bunge la kitaifa Justin Muturi ambaye amelaumu tume ya mishahara halikadhalika wizara ya fedha kwa kutoanzisha mchakato wa kuwalipa wakuu wa IEBC ili waondoke afisini. 

.
RELATED VIDEOS