×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Matatizo ya fedha yanakumba maandalizi ya mashindano ya riadha za chipukizi,,KTN Leo 20/09/2016

20th September, 2016

Matatizo ya kifedha yanakumba kamati aandalizi ya mashindano ya dunia ya riadha ya wanariadha wasiozidi umri wa miaka kumi na minane. Kenya iliteuliwa kuwa mwenyeji wa mashindano hayo miaka miwili iliyopita baada ya Jiji la Nairobi kupitia shirikisho la riadha kuweka wazi nia ya kutaka kuwakaribisha wanariadha chipukizi hapa nchini. Hata hivyo kufikia sasa kamati andalizi haijaanza maandalizi rasmi kwani wizara ya michezo bado haijatenga fedha zinazohitajika.

.
RELATED VIDEOS