.
20th September, 2016
Mwenyekiti wa tume ya maridhiano nchini NCIC Francis Ole Kaparo ameingilia kati kwenye mzozo wa uongozi katika chuo kikuu cha Moi. Kaparo amesema kuwa atamuunga mkono kaimu naibu mhadhiri wa chuo hicho Profesa Laban Ayiro aliyeteuliwa na waziri wa elimu Fred Matiangi. Baadhi ya viongozi katika kaunti ya Eldoret mapema leo walifanya maandamano wakimtaka Ayiro kuondolewa, hatua iliyoonekana kuwa muonekano wa kikabila.