Mwanamke Ngangari tukimwangazia Patroba au ukipenda ‘konje’ wa Eldoret
18th September, 2016
Je ni kina mama ama wanawake wangapi wako radhi kuingia ulingoni na kuchuana kwangumi? Wanahesabika bila shaka na mmoja wao mwanamke mmoja kutoka kaunti ya Uasin Gishu anayeitwa Patroba au ukipenda ‘konje’ wa Eldoret.