×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN LEO Septemba 13 2016 Wakazi wa eneo la Teleview Eldoret wapinga kujengwa kwa mochari

13th September, 2016

Hakuna apendaye kujihusisha na mauti, pamoja na kwamba kila nafsi itaonja mauti jinsi ilivyoandikwa kwenye vitabu vitakatifu.  Huko Eldoret eneo la Teleview, wenyeji wamepinga kujengwa kwa hifadhi ya maiti katika eneo lao, wakisema si vyema kuishi karibu na maiti.

.
RELATED VIDEOS