×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanahabari wa Standard, Masha azikwa

11th September, 2016

Amason Kingi walisema kuwa kifo cha mwanahabari huyo kinatakiwa kuchunguzwa kwa kina. Masha aliyekuwa mwanahabari  alitajwa kuhudhuria mwisho hafla eneo la Malindi… na kuwa kazi yake ya mwisho. Kukiwa kumezuka fununu kuhusu jinsi alivyotolewa uhai. Waliofika walimtaja Masha kama mwanahabari mkakamavu, mwenye kujitolea kwa hali na mali na aliyefanya kazi yake kwa uadilifu pasi na kutopendelea pande yoyote.  Jamii yake ilipombwa kuwa tulivu ikisubiri uchunguzi.

.
RELATED VIDEOS