×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Upili ya Nyabondo ajitia kitanzi akiwacha ujumbe ya kuangaishwa na wakubwa

8th September, 2016

Kwenye kisa cha kusikitisha mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya wavulana ya Nyabondo huko Kisumu amejitoa uhai. Kwenye taarifa ifuatayo, Frank Otieno anatuletea majonzi yaliyotanda shuleni humo, hali kadhalika huko Nakuru ambako bwana mmoja alikunywa sumu mahakamani baada  ya hukumu yake kusomwa. Suala ibuka kwamba, je, kujitoa uhai ni kusuluhisha au ni kuwaachia taabu wapendwa wako? Kumbuka vilevile kwamba tunalijadili suala hilo kwenye kurunzi ya leo ambapo studioni yupo daktari mtaalamu wa mawazo ya mwanadamu

.
RELATED VIDEOS