.
6th September, 2016
Rais mstaafu Daniel Arap Moi mapema leo ametembelea familia ya marehemu William Ole Ntimama kutoa rambirambi zake. Moi alikuwa ameandamana na seneta wa Baringo Gideon Moi, awali, Rais Uhuru Kenyatta alifika nyumbani humo katika mtaa wa Lavington akiandamana na viongozi serikalini. Mipango ya mazishi ingali inaendelea.