3rd September, 2016
Kulikuwa na kizaazaa katika makao makuu ya kanisa la Legio Maria la Got Kwer katika kaunti ya Migori baada ya baadhi ya waumini kumshutumu kiongozi wa kanisa hilo kwa madai ya usimamizi mbaya.
Hata hivyo waumini wanaomuunga mkono kiongozi huyo Romanus Ongombe waliwazidi nguvu wapinzano wao.