×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ekuru Aukot aitetea IEBC

6th August, 2016

Kiongozi wa chama cha Third Way Alliance Party, Dkt Ekuru Aukot amekosoa maafikiano ya kuwaondoa afisini makamishna wa IEBC. Aukot amefananisha hatua hiyo na mbinu ya wanasiasa kujinufaisha kutokana na masaibu ya Wakenya. Aidha, aukot amepuuzilia mbali matokeo ya kura za maoni, akisema mara nyingi zinatumika kuondoa fikira za wakenya kutoka kwenye masuala yenye umuhimu kwao, alizungumza pamoja na maafisa wa chama chake kwenye afisi zao hapa jijini Nairobi.
.
RELATED VIDEOS