Kilimo chaanza sehemu kadha za Wajir
2nd August, 2016
Ni eneo kame na huwa nadra kuona yeyote akijishughulisha na kilimo. Lakini ukulima kupitia unyunyizaji maji mashamba umeanza kuenea katika eneo la wajir. Mwanahabari wetu wa wajir feisal abdirahman alikutana na kundi la wakulima wanaokuza matunda ya tikitimaji na ametutayarishia tarifa ifatayo.