Suala ya Lishe bora katika eneo la Bamba
16th July, 2016
Kenya inajisifu kwa kupungua kwa idadi ya watoto wasiopata lishe bora. Ripoti ya afya nchini ya 2014 inaonyesha kuwa idadi hiyo imeshuka kutoka 35% mwaka wa 2008/2009 hadi 26%. Lakini kama anavyoarifu Mashirima Kapombe, mashirika ya kijamii na yasiyo ya serikali yakijiza titi kupunguza idadi hiyo zaidi, hakuna cha mno cha kusherehekewa.