×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kituo cha polisi walikokuwa wamefungiwa marehemu Willie Kimani na wenzake kiliteketezwa

6th July, 2016

Mapema leo kituo cha polisi walikokuwa wamefungiwa kinyume cha sheria marehemu wakili Willie Kimani, mteja wake na dereva wa teksi kiliteketezwa. Watatu hao walifungiwa katika kituo cha Syokimau kabla ya kuuawa. Wakati huohuo mwanapatholojia wa chama cha wanasheria nchini LSK, ameieleza mahakam kuwa watatu hao hawangeweza kustahimili uchungu mwingi uliotokana na mateso ikiwemo kufinywa sehemu zao za siri. Nicholas Wambua amekuwa akifuatilia taarifa hiyo na hii hapa taarifa yake.
.
RELATED VIDEOS