Mahakama imekataa ombi la LSK kumchunguza mkurugenzi idara ya upelelezi wa jinai Ndegwa Muhoro
5th July, 2016
Mahakama imekataa ombi la mawakili wa chama cha wanasheria nchini LSK na mamlaka ya ipoa kumchunguza mkurugenzi idara ya upelelezi wa jinai Ndegwa Muhoro kuhusiana na mauaji ya wakili Willie Kimani, mteja wake na dereva wa teksi. Jaji Luka Kimaru hata hivyo ametoa nafasi kwa Muhoro kuchukua muda wa wiki mbili jinsi alivyoomba kukamilisha uchunguzi. Nick Wambua ana taarifa hiyo kwa kina.