×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waziri wa Elimu Fred Matiang’i amewatahadharisha wanafunzi wanaojihusisha na vitendo vya kihuni

27th June, 2016

Waziri wa Elimu Fred Matiang’i amewatahadharisha wanafunzi wanaojihusisha na vitendo vya kihuni shuleni akisema watawajibikia uharibifu wanaofanya. Akizungumza kuhusu tukio la wanafunzi kuteketeza mabweni 7 katika shule ya upili ya Itiero. Matiang’i amesema wanafunzi waliohusika watahitaji idhini kutoka kwa wizara ikiwa watataka kuhamia shule nyingine. Aidha amesema serikali haitagharamia uharibifu huo
.
RELATED VIDEOS