Rais Uhuru Kenyatta leo hii amehudhuria kongamano la 41 la Wakuu was Shule za Sekondari mjini Momba
22nd June, 2016
Rais Uhuru Kenyatta leo hii amehudhuria kongamano la 41 la Wakuu was Shule za Sekondari mjini Mombasa akiwa amesheni ahadi chungu nzima kuhusiana na mishahara ya walimu. Francis Ontomwa alihudhuria mkutano huo na sasa anatupasha zaidi.