×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Francis Ole Kaparo na kundi lake wamezuiwa kuhutubia kwenye mpaka kati ya Kaunti za Kisumu na Nandi

22nd June, 2016

Mwenyekiti wa Tume ya Haki na Maridhiano Francis Ole Kaparo na kundi lake leo wamezuiwa kuhutubia wakazi waliokuwa na ghadhabu katika vituo vya biashara vya Songor na Kopere kwenye mpaka kati ya Kaunti za Kisumu na Nandi. Kaparo na kundi lake walikuwa wameenda kwa mkutano wa kurejesha amani kufuatia mapigano ya siku mbili katika eneo hilo ambayo yamesababisha vifo vya watu wawaili na zaidi ya watano kujeruhiwa. Rashid Ronald alikuwepo na ametuandalia taarifa ifuatayo.
.
RELATED VIDEOS