×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shofco yahubiri Amani kwa wakaazi wa Kibra

18th June, 2016

Wakaazi wa Kibra mapema leo wamejitenga na dhana kwamba mtaa huo ni mahali pa fujo na maandamano. Wakaazi, walitangamana na shirika moja linalotambulika katika mitaa ya mabanda ya Kibra na Mathare kama shining hope for communities, kuhubiri amani. Hafla hiyo ilijumuisha michezo mbalimbali kama ndondi na kadhalika waandalizi wa shughuli hiyo wakiongozwa afisa mkuu mtendaji wa Shofco walisema kuwa vijana wa Kibra hawatakiwi kutumiwa visivyo na wanasiasa.
.
RELATED VIDEOS