×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kikao cha dharura yawekwa kuhusu mzozo baina ya wafugaji na wakulima eneo la Mpeketoni

18th June, 2016

Wakuu wa usalama eneo la pwani ya Kenya wamefanya kikao cha dharura baada ya mtu mmoja kuuawa kwenye mzozo baina ya wafugaji na wakulima eneo la Mpeketoni. Aidha, mkuu wa usalama pwani Nelson Marwa ametoa hakikisho kwamba wanaohusika na machafuko eneo hilo watakamatwa.
.
RELATED VIDEOS