Mkenya alalama kwamba juhudi zake za muchwa zinishia katika ushuru lakini maisha yake hayabadiliki
8th June, 2016
Baada ya kusomwa kwa bajeti hiyo ya shilingi trilioni 2.3 kwenineko Mkenya nalalama kwamba juhudi zake za muchwa zinishia katika ushuru lakini maisha yake yanasalia vile vile katika hali duni. Lofty Matambo anaarifu kutoka mtaa wa Mukuru jijijni Nairobi.