×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wana CORD wafanya maandamano ya amani Nairobi na kutisha kuongeza idadi hadi 2 kwa wiki

6th June, 2016

Licha ya maandamano kuzua maafa, maandamano ya wana CORD mjini Nairobi iyaliishia kwa wito kutolewa kwa serikali kuwa iwapo hapatakuwa na mazungumzo basi wana CORD watalazimika kuitisha maandamo mapya safari hii mara mbili kwa wiki. Mwanahabari wetu mpekuzi Mohammed Ali anaangazia mambo yalivyokuwa tangu na asubuhi katika maandamano hayo ya kupinga kuendelea kazi kwa makamishna wa tume huru ya uchaguzi IEBC.
.
RELATED VIDEOS