×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jamii kumi na nne kutoka kaskazini mwa Kenya zilikuwa na hafla maalum ya kuonyesha utamaduni wao

28th May, 2016

Zaidi ya jamii kumi na nne kutoka kaskazini mwa Kenya zilikuwa na hafla maalum ya kuonyesha utamaduni wao. Jamii nyingi katika eneo hilo ni za wafugaji na mara nyingi huhusishwa na matukio kama vile wizi wa mifugo. Carol Nderi anatupambia makala maalum kuhusu hafla hiyo ya kukata na shoka.
.
RELATED VIDEOS