Boniface Manono asema hakuwa mmoja wa waandamanaji
18th May, 2016
Boniface Manono jamaa aliyenaswa kwenye video akipigwa na polisi amekana kulikuwa na jiwe mfukoni mwake lililoonekana kwenye picha akiwa ameangushwa barabarani. Manono anasema hakuwa mmoja wa waandamanaji na polisi walimpiga kimakosa wakidhania alikuwa mleta fujo. Mashirima kapombe anaarifu.