Mtoto wa darasa la sita anajivunia kuwa fundi wa pikipiki eneo la Uasin Gishu
14th May, 2016
Mwanafunzi mmoja wa darasa la sita kutoka shule ya msingi ya Kipkorion kaunti ya Uasin Gishu amewashangaza wengi kwa kufanya kazi inayoaminika kuwa ya wasomi na wataalam waliotaalamika. Elvis Kosgey anaarifu kuhusu kipawa adimu cha kijana huyo ambaye ni fundi wa pikipiki.