×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo yamtembelea Elima Khanaisa, mshindi wa shilingi milioni 22 katika shindano la Sportpesa

10th January, 2016

Elima Khanaisa kutoka kaunti ya Kakamega alijiunga na klabu ya mamilionea baada ya kushinda kitita cha shilingi milioni 22 katika shindano la Sports-Pesa. KTN Leo ilimtembelea milionea huyo nyumbani kwake katika kaunti ya Kakamega ili kuelewa hali yake ya maisha.
.
RELATED VIDEOS