Spika wa bunge la kaunti ya Migori ajiondoa kutoa nafasi ya uchunguzi wa madai ya ufisadi
27th October, 2015
Spika wa bunge la kaunti ya Migori amelazimika kujiondoa kwa muda kutoa nafasi ya uchunguzi wa madai ya ufisadi. Rashid Ronald amekuwa akifuatilia zogo hilo kati ya wawakilishi wa wadi wa Migori na spika na sasa anaarifu.